chakarika

Saturday 22 May 2010

Chanzo cha Ajali za barabarani Tanzania nini!


Imekuwa kawaida kwa jamii na serikali kuwatupia lawama Madereva, wamiliki wa magari kuwa ndiyo wanasababisha ajali na kwa sababu ya uzembe wa madereva!!!!!!!!. Je hiyo kweli ni sababu ya kweli ama kuna sababu zaidi ya hizo..
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog

1 comment:

  1. Mambo ni mengi tuu yanachangia...viwango duni ya barabara zetu za kiwango cha lami na changarawe...wakandarasi wanaoshinda hizo tenda wanauwezo mdogo wa kutengeneza barabara za viwango vya juu

    ReplyDelete